Zoezi la ujenzi wa barabara ya Lokichar wasitishwa kwa siku ya nne

  • | Citizen TV
    Wafanyikazi wamekuwa wakiandamana kulalamikia hali kazini Wanadai kampuni ya Uchina ambayo imekuwa ikijenga inawadhulumu