Zoezi la usajili wa vijana watakaojiunga na jeshi laendelea katika kaunti ya Kisii

  • | Citizen TV
    1,639 views

    Usajili wa vijana watakaojiunga na jeshi linaendelea katika kaunti ya Kisii ambako foleni ndefu zimeendelea kushuhudiwa.