Zogo la ardhi Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    246 views

    Mzozo unaendelea kutokota baina ya serikali ya kaunti ya Trans Nzoia na familia inayodai kumiliki kipande cha ardhi ambacho kinapakana na makao makuu mapya ya ofisi za kaunti hiyo mjini Kitale