Zogo la steni Nyeri | Mgomo wa wahudumu wa matatu wavuruga shughuli za uchukuzi Nyeri

  • | Citizen TV
    597 views

    Shughuli za uchukuzi na hata biashara zilitatizika mjini Nyeri mapema leo kufuatia mgomo wa wahudumu wa matatu, wanaolalamikia agizo la serikali kuwataka kuhamia sehemu nyingine ya kuegesha magari yao. Wahudumu hawa wakidinda kuhamia steji ya Field Marshal Muthoni Kirima, wakisema itawaacha bila biashara