ZOGO LA UONGOZI KATIKA KANISA LA WOKOVU NAIROBI CENTRAL

  • | KBC Video
    8 views

    Zogo la uongozi katika kanisa la Jeshi la Wokovu la Nairobi Central limekolea huku waumini wakitishia kufunga kanisa hilo iwapo matakwa yao hayatashughulikiwa. Waumini hao wamekuwa wakiandamana katika siku za hivi majuzi kulalamikia uongozi mbaya kwenye kanisa hilo, jambo ambalo limepuuzwa na viongozi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive