ZULIA JEKUNDU EP 321:Spotify imepanga kupiga hatua kubwa barani Afrika

  • | VOA Swahili
    Kampuni ya kusambaza muziki ya Spotify imepanga kupiga hatua kubwa barani Afrika katika siku za karibuni wakati ikizindua huduma zake kwenye mataifa mengine 39 barani humo. Kampuni hiyo imesema kuwa itazindua huduma mpya zinazoendana na masoko hayo mapya. Originally published at - https://www.voaswahili.com/a/5794577.html