ZULIA JEKUNDU - Mashindano ya mapishi mjini Washington yaleta mvuto

  • | VOA Swahili
    58 views
    Mashindano ya mapishi yaliyohusisha balozi mbalimbali mjini Washington yamevutia jamii kutoka maeneo tofauti #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.