ZULIA JEKUNDU - MSANII DAMIAN SOUL KUTOKA TANZANIA NA KIBAO CHAKE KIPYA

  • | VOA Swahili
    Wiki hii ndani ya Zulia Jekundu tunaelekea nchini Tanzania ambako tumezungumza na msanii wa muziki Damian Soul, akielezea kibao chake kipya. #DamianSoul #Tanzania #VOA