ZULIA JEKUNDU- MWIGIZAJI IDRIS ELBA AZINDUA KIPINDI CHA TV KUINUA VIPAJI VYA WANAWAKE WEUSI

  • | VOA Swahili
    91 views
    Mwigizaji wa Hollywood Idris Elba amejiunga na ukumbi wa michezo wa Lyric Hammersmith kama mtayarishaji mshiriki wa mchezo wa School Girls nchini U.K. Au, The African Mean Girls uliotyarishwa na Jocelyn Bioh. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.