ZULIA JEKUNDU - SABABU ZA BURNA BOY KUAAHIRISHA TAMASHA AFRIKA KUSINI

  • | VOA Swahili
    70 views
    Mwanamuziki maarufu kutoka Nigeria, Burna Boy, amekana vikali taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinazodai kuwa alilazimika kuaahirisha tamasha lake lililopangwa kufanyika Afrika Kusini kwa sababu ya kushindwa kuuza tiketi za kutosha. Amewasihi mashabiki wake kupuuza taarifa hizo, akisisitiza kuwa zina lengo la kumchafulia jina.#voaswahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.