- 113 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
ZULIA JEKUNDU - USHER RAYMOND APEWA TUZO YA MSANII MKONGWE
- 15 Jul 2025 - Spanish police have arrested nine people over rare anti-migrant unrest that rocked the town of Torre Pacheco, authorities said on Monday.
- 15 Jul 2025 - A nighttime fire at a nursing home has left nine people dead in the northeastern US state of Massachusetts after a desperate rescue operation, local authorities said Monday.
- 15 Jul 2025 - Karua, the People’s Liberation Party leader and long-time advocate for civil liberties, served as the chief guest at the cultural event that brought together members of the Kenyan diaspora in the U.S. Pacific Northwest.
- 15 Jul 2025 - In a statement released Monday, KUCO announced plans for mass demonstrations on Wednesday, July 17, in Nairobi. The union said it will present a public petition demanding immediate action to address what it described as the deteriorating state of public…
- 15 Jul 2025 - In a constitutional petition filed by UK-based activist Eliud Matindi, Justice Chacha Mwita ruled that there would be no interim orders preventing Lagat from carrying out his duties as Deputy Inspector General until the matter was fully heard and…
- 14 Jul 2025 - Mumias East Member of Parliament (MP) Peter Salasya has voiced concerns over the impending economic strain on Kenyan
- 14 Jul 2025 - Mumias East MP Peter Salasya has urged youths to actively participate in politics by vying for various elective
- 14 Jul 2025 - Human rights activist and Busia Senator Okiya Omtatah has sharply criticised President William Ruto’s recent directive to police
- 14 Jul 2025 - Interior Cabinet Secretary Kipchumba Murkomen has assured the nation that Kenya is fully prepared to host the 2025 CHAN tournament, with robust security arrangements firmly in place to guarantee the safety of teams, officials, and fans. Speaking after…
- 14 Jul 2025 - The Office of the Director of Public Prosecutions (ODPP) charged the suspects with committing a terrorist act contrary to Section 4(1) of the Prevention of Terrorism Act No. 30 of 2012.