
607 views
Waititu ahukumiwa kifungo cha miaka 13 gerezani
Aliyekuwa gavana wa kaunti ya Kiambu Ferdinand Waititu amehukumiwa kifungo cha miaka 13 gerezani au alipe faini ya shilingi milioni 21 katika kesi ya ulanguzi wa pesa, huku aliyekuwa mkuu wa mkoa David Nathan Chelogoi akihukumiwa kifungo cha miaka mitatu gerezani bila faini kuhusiana na kesi ya unyakuzi wa ardhi. Katika uamuzi mwingine wa mahakama, Mkewe Waititu alihukumiwa kifungo cha miaka minne gerezani au alipe faini ya shilingi milioni 4 katika kesi hiyo ya ulanguzi wa pesa. Hukumu hiyo inaongeza masaibu ya Waititu ambaye kwa sasa anatumikia kifungo cha miaka 12 gerezani kwa kuhusika na ufisadi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
- Kenya yakadiria ruwaza mpya ya maendeleo
- Watu wawili wafariki baada ya mtungi wa gesi kulipuka Mombasa
- EACC yataka uadilifu wa wawaniaji uchunguzwe kwa kina
- Ifahamu China: Tamasha ya Filamu za Kichina
- Kenya kuanza kuuza mafuta ghafi nje ya nchi mwezi ujao
- Walimu wa sekondari msingi watishia kugoma mwakani
- Rais Ruto aendelea na ziara ya maendeleo Magharibi mwa nchi
- LIVE: Darubini: 23rd November 2026: www.kbc.co.ke