
13 views
Taita Taveta: SHA yawaacha wengi bila huduma za afya,; wananchi wateseka!
"Mfumo wa SHA unapaswa kuimarishwa na serikali ili kuboresha huduma za afya nchini. Kwa sasa, wananchi wasio na SHA wanakabiliwa na changamoto wanapohitaji matibabu. Hali hii inawaathiri zaidi wananchi wa kipato cha chini na wale wasio na uelewa wa kutosha kuhusu mfumo huo, ambao hukumbana na matatizo wanapofika katika hospitali za umma."- Mkazi, Taita Taveta #TV47SaaTano Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __
- TV47 LIVE: Home of Untold Stories: TV47KENYA
- Arocho: Nimepunguza kilo kumi na tatu sikuli ungaunga ivi: 90+
- West Pokot stun Busia Kenya Inter-Counties Sports and Cultural Association games
- New NSL season kicks off officially
- Coca-Cola launches festive season campaign in Kenya with the Christmas Caravan
- PSVs under scrutiny over livestock theft in Naivasha
- Live 24/7 na tuko kila pahali aisee na ni sare mzing..alo alo habari ndio hiyo#TV47Digital
- You shouldn't pay for internet and also pay to watch TV...bwana kuja watch TV47 ni free!#TV47Digital