
467 views
ODM yampigia debe Rais Ruto kuchaguliwa tena 2027
Chama cha Orange Democratic Movement (ODM) kimetaka upinzani kuweka wazi ajenda yake ya kisiasa kwa Wakenya na kujiepusha na kauli za kisiasa zisizo na mwelekeo. Viongozi wa chama hicho, wakiongozwa na mwenyekiti wa kitaifa wa chama hicho, Gladys Wanga, pia wametaka kuimarishwa kwa juhudi za kukitangaza chama hicho kuanzia maeneo ya mashinani. Wameonya kuwa kulegeza juhudi hizo kunaweza kuvipa vyama vingine nafasi ya kujipenyeza katika ngome za kisiasa za chama hicho. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
- Kihika asema viongozi wengi wa Mlima Kenya wanaunga mkono azma ya Rais
- Mbunge wa zamani wa Kisauni anuia kuwania Ugavana Mombasa
- Wafanyabiashara wa kuegesha magari Nyali wadai ardhi yao imenyakuliwa
- Hospitali zahimizwa kugeukia kawi endelevu kupunguzu gharama
- Watu walio na ulemavu wa kusikia wapokea mtaji wa biashara Kilifi
- Watu 5 wauawa, 4 wakijeruhiwa kufuatia uvamizi Isiolo
- Serikali yahimizwa kupunguza ushuru sekta ya majani chai
- Wakazi Nyamira waitaka serikali kuwafidia; ardhi yao imetwaliwa kwa ujenzi wa reli ya kisasa