
203 views
Siku ya ukumbusho duniani ya waathiriwa wa ajali barabarani
Kenya iliadhimisha siku ya ukumbusho duniani ya waathiriwa wa ajali za barabarani huku miito ikitolewa kwa watumiaji barabara kuwa waangalifu zaidi na kuzingatia kanuni za trafiki. Kulingana na takwimu idadi ya watu walioaga dunia kutokana na ajali barabarani iliongezeka hadi 5009 mwaka uliopita ikilinganishwa na 4748 mwaka 2024, hili likiwa ongezeko la asilimia 5.5. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
- CoG questions MoH directive to remove M-Pesa Paybill numbers from county health facilities
- MoH, health stakeholders intensify Ovarian Cancer awareness efforts
- EACC calls for stronger stricter candidate vetting ahead of 2027 polls
- Government says oil exploitation will begin in December
- Two people killed in a gas cylinder explosion in Mombasa
- President Ruto launches Sh503 million Kimilili-Kapsokwony road in Bungoma
- Kenya yakadiria ruwaza mpya ya maendeleo
- Watu wawili wafariki baada ya mtungi wa gesi kulipuka Mombasa