
708 views
Mitihani za KJSEA NA KPSEA zaanza
Tathmini tamati kwa wanafunzi wa sekondari msingi (KJSEA) na wenzao wa shule za msingi (KPSEA) zilianza leo Jumatatu tarehe 26 kote nchini. Kuanza kwa tathmini hizo kunajiri huku serikali ikilihakikishia taifa zima kuwa tathmini zitafuata taratibu zilizowekwa, haki na uwazi. Waziri wa elimu julius Ogamba ameonya kwamba udanganyifu wowote ule hautakubaliwa, akiwatahadharisha watahiniwa na wazazi kuepuka matapeli wanaoitisha fedha wakidanganya wana nakala za tathmini hizo. John Kahiro na taarifa kwa kina. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
- LIVE: Sports Check with Daniel Wahome: 23rd November 2026: www.kbc.co.ke
- LIVE:Good Morning Kenya: 23rd November 2026: www.kbc.co.ke
- Women artists in Lavington tell their stories through art
- Counties in Brief: Persons with Disabilities in Migori receive wheelchairs
- 18-year-old South Sudanese model, Nyaliep Puot wins Africa's Next Super Model
- GBV survivors face stigma, financial dependence and barriers to justice
- Lagdera MP attributes attacks to Oromo Liberation Front army
- Gatundia residents suffer losses owing to persistent elephant invasions