
321 views
Ruto: Upeperushaji mubashara wa matokeo ya uchaguzi hautavurugwa
Rais William Ruto amepuzilia mbali madai kwamba wabunge wanaoegemea mrengo wa Kenya Kwanza walikuwa wamefuta hitaji la kusambaza matokeo ya uchaguzi mubashara. Kiongozi wa taifa ambaye alihudhuria ibada ya Jumapili kwenye kaunti ya Kitui wakati wa ziara yake ya kikazi katika eneo la Ukambani, alitaja madai hayo kuwa yasiyokuwa ya ukweli ambayo yananuiwa kuchochea wananchi. Aidha, alitetea uwekezaji wa Aliko Dangote wa kuwa na hisa ya zaidi ya shilingi bilioni-40 katika kampuni ya Kenya Pipeline. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
- Walimu wa sekondari msingi watishia kugoma mwakani
- Rais Ruto aendelea na ziara ya maendeleo Magharibi mwa nchi
- LIVE: Darubini: 23rd November 2026: www.kbc.co.ke
- Kihika asema viongozi wengi wa Mlima Kenya wanaunga mkono azma ya Rais
- Mbunge wa zamani wa Kisauni anuia kuwania Ugavana Mombasa
- Wafanyabiashara wa kuegesha magari Nyali wadai ardhi yao imenyakuliwa
- Hospitali zahimizwa kugeukia kawi endelevu kupunguzu gharama
- Watu walio na ulemavu wa kusikia wapokea mtaji wa biashara Kilifi