
1,036 views
Serikali yatakiwa kuimarisha usalama Moyale
Viongozi kadhaa kutoka kaunti ya Marsabit wanatoa wito kwa serikali iimarishe usalama huko Moyale kufuatia kuzuka tena kwa makabiliano ya mpakani.Kulingana na wabunge hao, makabiliano hayo yamewalazimu watu kutoka nchi jirani ya Ethiopia kutorokea eneo hilo kwababu ya mapigano yanayoendelea nchini mwao. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
- Migori County partners with Walkabout Foundation to donate 150 wheelchairs
- Former Kisauni MP Ali Mbogo meets members of the Pokomo community
- North Mugirango residents protest two-week notice to vacate land for proposed SGR station
- Traders at a car park in Nyali protest alleged police harassment and intimidation
- Parents urged to spend more quality time with children during holidays
- Victims of Sunday evening raid receive treatment at Isiolo Referral Hospital
- Governor Kihika says Mt Kenya region is still supporting the president
- The deaf in Kilifi County receive capital donations