
576 views
Stephen Ekirapa alizikwa nyumbani kwake Busia
Aliyekuwa OCPD wa Fafi Stephen Ekirapa, aliyeuawa kwenye shambulizi linaloshukiwa kuwa la kigaidi katika kaunti ya Garissa alizikwa mwishoni mwa wiki hii nyumbani kwake Kamarinyang kaunti ya Busia.Ekirapa aliaga dunia tarehe 9 mwezi huu pamoja na dereva wake akiwa kazini baada ya gari lake kukanyaga kilipuzi kilichokuwa kimetegwa kwenye barabara ya Sorethi Daadab huko Fafi, kaunti ya Garissa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
- Kihika asema viongozi wengi wa Mlima Kenya wanaunga mkono azma ya Rais
- Mbunge wa zamani wa Kisauni anuia kuwania Ugavana Mombasa
- Wafanyabiashara wa kuegesha magari Nyali wadai ardhi yao imenyakuliwa
- Hospitali zahimizwa kugeukia kawi endelevu kupunguzu gharama
- Watu walio na ulemavu wa kusikia wapokea mtaji wa biashara Kilifi
- Watu 5 wauawa, 4 wakijeruhiwa kufuatia uvamizi Isiolo
- Serikali yahimizwa kupunguza ushuru sekta ya majani chai
- Wakazi Nyamira waitaka serikali kuwafidia; ardhi yao imetwaliwa kwa ujenzi wa reli ya kisasa