Kampuni ya East African Portland Cement yarejelea shughuli za kazi baada ya kufungwa kwa mwezi moja

  • | Citizen TV
    791 views

    Kampuni ya East African Portland Cement imerejelea shughuli za kazi tena baada ya kufungwa kwa mwezi mmoja baada ya ukarabati ili kukithi mahitaji ya simiti.