Kapteni Hillary Litali ni miongoni mwa watu 10 waliofariki kwenye ajali

  • | Citizen TV
    2,996 views

    Huzuni imetanda nyumbani kwa mzee Dickson Litali eneo la Tanners, Shabaab kaunti ya Nakuru kufuatia kifo cha mwana wao Kapteni Hillary Litali. Kapteni Litali ni mmoja kati ya watu kumi walioaga dunia kufuatia ajali ya ndege eneo la Kaben, kaunti ya Elgeyo Marakwet hapo jana.