Serikali kuu yaahidi kutoa shilingi milioni 454 kwa kaunti 5 kukamilisha ujenzi wa makao makuu

  • | Citizen TV
    215 views

    Serikali ya kitaifa imeahidi kutoa shilingi milioni 454 za kwa kaunti 5 kabla ya mwisho wa mwaka huu wa kifedha ili kukamilisha ujenzi wa makao makuu ya kaunti hizo.