Wasiwasi wa shule kufunguliwa wiki ijayo

  • | K24 Video
    568 views

    Chama cha walimu wa shule za upili KUPPET kimeitaka wizara ya elimu iwasilishe taarifa mapema, ifikiapo alhamisi, iwapo shule zina uwezo wa kufungua wiki ijayo au la. Kulingana nao serikali inapaswa kujizatiti na kujenga shule za muda kabla ya tarehe 6. hayo yakijiri wakuu wa shule wameeleza wasiwasi wao kufuatia uharibifu wa mali vikiwemo vitabu na vyoo pamoja na ukosefu wa njia za kuingia shule