Asilimia 45 ya vijana katika kaunti ya Mombasa wakumbwa na ukosefu wa kazi

  • | Citizen TV
    234 views

    Zaidi ya asilimia 45 ya vijana katika kaunti ya Mombasa wanakumbwa na uhaba wa ajira, hali inayodaiwa kuchangia maswala ya utovu wa usalama na utumizi wa dawa za kulevya.