Azimio Kamukunji | Viongozi wakosoa utendakazi wa Kenya Kwanza

  • | KBC Video
    41 views

    Chama cha muungano wa Azimio la Umoja One Kenya limeushtumu utawala wa Kenya Kwanza kwa kukosa kutimiza ahadi ya kupunguza gharama ya maisha katika muda wa siku 100 afisini. Wakihutubia mkutano kwenye uwanja wa Kamukunji jijini Nairobi, vinara wa Azimio wakiongozwa na Raila Odinga waliamua kuzidisha shinikizo kwa utawala wa Kenya Kwanza kupunguza gharama ya bidhaa za kimsingi kuanzia mwezi Januari mwaka ujao hasa kurejesha vishawishi kwa bei za unga wa mahindi na mafuta.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #azimiolaumoja #News #kenyakwanza #upinzani