Dunia Wiki Hii 29th July 2023

  • | KBC Video
    6 views

    Katika makala ya juma hili - Nchi kadhaa zaendelea kuathirika kutokana na viwango vya juu zaidi vya joto. - Waislamu katika nchi mbalimbali waandamana kulalamikia kuharibiwa kwa Quran nchini Sweden na Denmark huku misri ikimwita balozi wa Sweden nchini humo. - Mjadala wa vyama vya kisiasa vya nchi za kundi la BRICS waandaliwa nchini Afrika kusini huku nchi hiyo ikijitayarisha kuandaa kongamano la marais mwezi ujao. - Je wakumbuka filamu za mhusika mashuhuri Bruce Lee? Tutakuarifu kuhusu urathi wake unaoendelea kuwa kivutio miaka 50 baada ya kifo chake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News