KNUT yapinga kutozwa malipo ya uzeeni

  • | KBC Video
    4 views

    Chama cha muungano wa walimu nchini KNUT kinapinga kutozwa malipo ya uzeeni huku wakiibua madai kuwa shirika hilo halikufahamishwa dhidi ya hatua hiyo, akihutubia walimu wakati wa mkutano wa kila mwaka katika eneo la Baringo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News