Kundi la wakulima Namakat kaunti ya Turkana laanza mradi wa nyasi kufaidi mifugo wao wakati wa kiang

  • | Citizen TV
    187 views

    Kundi la wakulima eneo la Namakat eneo bunge la Turkana kusini linaendelea na shughuli ya uvunaji wa nyasi ya mifugo iliyopandwa kwenye ardhi ya ekari kumi. na kama anavyoarifu Cheboit Emmanuel,wakaazi hao wamesema waliamua kukumbatia mradi huu,baada ya mifugo wao wengi kuathirika na kiangazi kikali kilichoshuhudiwa mwaka uliopita ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.