Madaktari wasema serikali imepuuza mashauriano

  • | KBC Video
    37 views

    Vyama vya wafanyakazi wa afya vimeilaumu serikali kwa kile vimetaja kuwa kutojitolea kushiriki mazungumzo ya kutafuta suluhu la kudumu kwa mgomo wa kitaifa unaoendelea. Katika mkao wa pamoja na wana-habari, vyama hivyo vimesema havijapata mwaliko wowote rasmi wa kushiriki mazungumzo kutoka kwa serikali ila ni matamshi yanayotolewa katika mikutaano ya hadhara na vitisho. Na jinsi anavyotuarifu Kamche Menza, wahudumu wa wa afya wamebeza agizo la Inspekta Jenerali wa polisi Japheth Koome kuhusu maandamano yao ya kesho.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News