Mapendekezo ya kodi Kenya

  • | BBC Swahili
    239 views
    Wabunge nchini Kenya walipitisha mswada wa Fedha uliozua mgawanyiko nchini humo kwa mapendekezo kadhaa ya kuongeza kodi. Wabunge 176 waliidhinisha mswada huo ilhali 81 waliupinga. Je ni kwa namna gani mapendekezo hayo ya kodi yatawaathiri Wakenya? #bbcswahili #kenya #kodi