Mshukiwa mkuu Julias Mugoi wa mauaji ya Tom Osinde afikishwa mahakamani

  • | Citizen TV
    353 views

    Mshukiwa mkuu katika mauaji ya aliyekuwa mfanyikazi katika wizara ya hazina ya kitaifa Tom Osinde mwezi June nyumbani kwake Ngata kaunti ya Nakuru anatarajiwa kufikishwa mahakamani hii Leo kukabidhiwa na mashtaka ya mauaji.