Mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika kaunti ya Mandera yasababisha hasara kubwa

  • | Citizen TV
    750 views

    Mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika kaunti ya Mandera imesababisha hasara kubwa baada ya vyoo na nyumba za kifahari kuharibiwa na mvua hiyo.