Polisi wanawazuilia washukiwa 140 wa uhalifu Mombasa

  • | Citizen TV
    1,873 views

    Washukiwa 140 wa uhalifu walitiwa mbaroni na maafisa wa polisi hapo jana kisiwani mombasa. Idadi hii ndiyo kubwa zaidi kuwahi kukamatwa jijini humo inayoshirikisha makundi 10 ya Magenge yanayodaiwa kuwahangaisha wakaazi na kuzua hofu miongoni mwa wafanyabiashara.