Rais wa Marekani na mkewe waandaa sherehe za tamasha la Juneteenth

  • | VOA Swahili
    335 views
    Rais wa Marekani na mkewe waandaa tamasha la Juneteenth katika ikulu ya Marekani. Ungana na mwandishi akikuletea maelezo kamili kuhusu sherehe hizo zilizoandaliwa wiki hii katika sherehe za jamii, utamaduni na muziki. Endelea kusikiliza... #rais #joebiden #mkewe #jillbiden #sherehe #juneteenth #ikulu #marekani #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.