Ruto : Hata uweke sufuria kwa kichwa mara ngapi, bei ya unga itashuka?

  • | KBC Video
    63 views

    Ruto : Nakubalia kwamba gharama ya maisha imepanda. Lakini lazima tuwe na mpango wa kutatua hili jambo, sio kwa kubeba sufuria kwa kichwa. Hata uweke sufuria kwa kichwa mara ngapi, bei ya unga itashuka?

    #KBCniYetu

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #costofliving