Sakata ya Gor Mahia

  • | Citizen TV
    26 views

    Sakata inayowakumba mabingwa wa ligi kuu ya taifa Gor Mahia inazidi kutokota huku kukiwa na vuta nikuvute kati ya klabu hiyo na ajenti wa mchezaji Sando Yangayay, slim Boulasnem.