Tume ya NCIC imewataka Rais Ruto kufanya majadiliano na kinara wa Azimio Raila Odinga

  • | K24 Video
    428 views

    Tume ya mshikamano wa kitaifa , NCIC, imewataka Rais William Ruto kufanya majadiliano na kinara wa Azimio Raila Odinga kuhusu yanayosababisha maandamano nchini. Tume hiyo imeonya kuwa iwapo maandamano hayatasitishwa, huenda kukazuka balaa zaidi hapa nchini.