Viongozi wa mataifa 20 kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa rais mteule William Ruto

  • | KBC Video
    39 views

    Jumla ya viongozi wa mataifa 20 wa bara Afrika watahudhuria hafla ya kuapishwa kwa rais mteule William Ruto siku ya Jumanne. Katibu wa wizara ya usalama wa kitaifa Karanja Kibicho amesema viongozi walioalikwa wamethibitisha kuwa watahudhuria. Kibicho ambaye leo aliongoza kamati ya mpito wa mamlaka kukagua maandalizi hayo katika uwanja wa michezo wa kimataifa wa Moi huko Kasarani amesema shughuli katika uwanja huo zitakamilika kesho jioni. Zoezi la kuigiza jinsi uapisho huo utakavyotekelezwa pia liliandaliwa huku mazoezi yakikamilika leo rasmi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #swearinginceremony #KenyaElection2022 #williamruto