Waliokuwa wagombea kadhaa wa Ugavana wawasilisha kesi kortini

  • | Citizen TV
    2,442 views

    Zaidi ya kesi nane ya uchaguzi wa ugavana zimewasilishwa kwenye mahakama mbalimbali nchini, walalamishi wakipinga kuchaguliwa kwa baadhi ya magavana walioapishwa wiki iliyopita. Baadhi ya wale waliowasilisha kesi hizo ni pamoja na aliyekuwa Gavana Evans Kidero anayepinga uchaguzi wa Gladys Wanga na Wangui Ngirici ambaye amewasilisha kesi kupinga kuchaguliwa tena kwa Anne Waiguru kama Gavana wa Kirinyaga.