Watetezi wa haki za kibinadamu wamewalaumu polisi kwa kutowajibika ipasavyo

  • | K24 Video
    600 views

    Watetezi wa haki za kibinadamu pamoja na viongozi wa dini humu nchini wamewalaumu polisi kwa kutozuia ghasia zilizotokea jana Kibra. Viongozi waliofika mtaani Kibra, wamewataka wenyeji wadumishe amani na vijana wasikubali kutumiwa visivyo na wanasiasa. Katika ghasia za jana kulikuwa na uharibifu mkubwa wa mali na hata mtu mmoja aliuawa.