Waziri wa Elimu Ezekiel Machogu atangaza uteuzi wa wanafunzi waliofanya KCSE 2022

  • | Citizen TV
    271 views

    Kati ya wanafunzi 870,561 waliofanya mtihani wa KCSE mwaka jana wanafunzi 130,485 wameteuliwa kujiunga na vyuo vikuu vya umma huku wengine 9,622 wakipata nafasi kwenye vyuo vikuu vya kibinafsi. Akitangaza uteuzi huo, waziri wa elimu ezekiel Machogu amesema kuwa wanafunzi watakaojiunga na vyuo vya kiufundi, vyuo vya anwai na vyuo vya mafunzo ya ualimu. Aidha machogu ametangaza kuwa vyuo vya umma vina madeni ya zaidi ya shilingi bilioni 60.