Waziri wa Teknolojia Eliud Owalo ahakikisha serikali imeweka mikakati kulinda usalama wa data

  • | Citizen TV
    214 views

    Waziri wa Habari na Teknolojia Eliud Owalo ametoa hakikisho kuwa serikali imeweka mikakati ya kutosha kukabiliana na udukuzi wa mitandao mbalimbali inayotoa huduma za serikali na haswa E citizen yenye huduma zaidi ya elfu tano za serikali.