Skip to main content
Skip to main content

Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri Mkuu.

  • | BBC Swahili
    40,375 views
    Duration: 36s
    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemteua aliyekua waziri wa fedha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu. Bunge litamthibitisha kisha Rais kumuapisha. Nchemba amewahi kuhudumu katika wizara mbalimbali, alikua Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Waziri wa Katiba na Sheria na Naibu Waziri wa Fedha Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw