5 Dec 2025
- Jeshi la Polisi leo limepiga marufuku maandamano yaliyopangiwa kufanyika Disemba 9, ambayo ni Jumanne wiki ijayo. Aidha Jeshi hilo limetoa onyo kali…
5 Dec 2025
- Jeshi la polisi nchini Tanzania limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika nchi nzima Desemba 9, 2025.
Msemaji wa Polisi David Misime,…
5 Dec 2025
- Rais wa Marekani Donald Trump , hii leo ni mwenyeji wa viongozi wakuu kutoka Rwanda na Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo ambao wanatarajiwa kutia…
5 Dec 2025
- Tanzania imeingia kwenye mvutano mkali kati ya teknolojia na haki za binadamu baada ya Meta, wamiliki wa Instagram na WhatsApp kufuta akaunti za…
5 Dec 2025
- “Tunatoa wito mamlaka husika Tanzania kukabidhi miili ya marehemu kwa familia zao”
5 Dec 2025
- Watu takribani 30,000 wanakadiriwa kupoteza viungo vyao wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sierra Leone katika miaka ya 1990.
Wengi…
5 Dec 2025
- Je uchaguzi wa 2026 ni ushindani wa kisiasa?
4 Dec 2025
- Marekani imesema kuwa inatathimini upya uhusiano wake na Tanzania kufuatia mauaji ya raia wengi wakati wa uchaguzi mkuu wa hivi karibuni. Taarifa…
3 Dec 2025
- Serikali ya Tanzania imemfungulia mashtaka mwanaharakati Mange Kimambi ambaye anaishi Marekani. Hakuna maelezo zaidi katika tovuti rasmi ya mahakama…
3 Dec 2025
- Nashukuru Mungu ndugu zangu saba wametoka wote
3 Dec 2025
- Rais wa Marekani Donald Trump amesema hataki wahamiaji wa Kisomali nchini Marekani, na kuwaambia kuwa wanapaswa "kurejea walikotoka."
"Siwataki…
3 Dec 2025
- Polisi nchini Tanzania inasema imebaini mbinu kadhaa ambazo wahalifu wanaweza kutumia ili kuchochea maandamano na machafuko ifikapo Desemba 9, 2025…
3 Dec 2025
- Namshukuru Mungu’
Mwandishi @mikachavala aliyekuwa ameshtakiwa kesi ya uhaini kufuatia vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi nchini Tanzania amesema…
3 Dec 2025
- Leo (Jumatano) macho ya familia, ndugu na jamaa yanaelekea katika mahakama ya hakimu mkaazi ya Kisutu baada ya mfanyabiashara Niffer (Jennifer Jovin…
3 Dec 2025
- Mkurugenzi wa mashtaka nchini Tanzania amewafutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara wa vipodozi Jenifer Jovin maarufu @_.niffer._ na…
3 Dec 2025
- Serikali ya Tanzania imemfungulia mashtaka ya kiuchumi mwanaharakati Mange Kimambi ambaye ana maskani yake nchini Marekani.
Tovuti rasmi ya…
2 Dec 2025
- Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea hatua zilizochukuliwa na vyombo vya ulinzi na usalama wakati wa machafuko ya Oktoba 29, siku ambayo…
2 Dec 2025
- Mjumbe maalum wa Rais Trump - Steve Witkoff yupo mjini Moscow akiandamana na mkwe wa Rais Trump - Jared Kushner. Mkutano huo unafanyika baada ya…
2 Dec 2025
- Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
2 Dec 2025
- 'Wazazi mzungumze na vijana wetu, mlishindwa nini kuwakataza kutoka kwenye maandamano,
Unaporudi leo mzee ,kijana wako kaumizwa mguu, au bahati mbaya…
2 Dec 2025
- Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
2 Dec 2025
- Rais Samia amesema 'Hakuna kitabu cha dini kimesema tutatumia dini zetu kuvuruga nchi zetu'
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC…
2 Dec 2025
- Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
2 Dec 2025
- Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
2 Dec 2025
- Wengi wasiotutakia mema nchi yetu ya Tanzania wanakereka na sifa zetu za undugu.’
-
Rais Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wazee wa Dar es Salaam…
2 Dec 2025
- Paka akamatwa na polisi baada ya kengele ya benki
Polisi nchini Uturuki waliitikia wito wa dharura baada ya kengele ya benki kuwashwa usiku. Lakini…
1 Dec 2025
- Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, amesema miongoni mwa mambo yanayowasikitisha Watanzania kwa…
1 Dec 2025
- Mwenyekiti wa Tume huru ya uchunguzi iliyoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuchunguza matukio ya Oktoba 29, Jaji Othman Chande, amesema tume yake…
1 Dec 2025
- Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema kimetoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka kuepusha nchi kuingia kwenye machafuko, kikitaka…
1 Dec 2025
- Uchunguzi wa BBC umebaini kuwa mamia ya waandamanaji nchini Georgia huenda waliathiriwa na kemikali hatari wakati wa maandamano ya kupinga serikali…
1 Dec 2025
- Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
1 Dec 2025
- Umewahi kusikia mara kwa mara kuhusu millennials,Baby Boomers na kizazi maarufu cha Genz-Generation Z.
Kwa mujibu wa Dk. Alexis Abramson, mtaalamu…
30 Nov 2025
- Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
30 Nov 2025
- Je Afrika inaingia zama mpya ya utawala wa kijeshi
29 Nov 2025
- Ushawahi kusikia kuwa kuna ugonjwa wa kuogopa?
Hali hii inaweza kukupa ujasiri uliopitiliza yani unaweza kukutana na hatari kubwa kabisa bila hata…
28 Nov 2025
- Serikali ya Tanzania yatoa tamko lake, baada ya Bunge la Ulaya kupitisha azimio la kutaka kusitisha ufadhili kwa taifa hilo la Afrika mashariki.…
28 Nov 2025
- Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa kivita mjini The Hague ICC imetakiwa kuchunguza madai ya mauaji ya watu wengi wakati wa msako mkali wa maandamano…
27 Nov 2025
- Jeshi la Guinea-Bissau limemteua jenerali kuiongoza nchi hiyo siku moja baada ya kuchukua madaraka. Jenerali Horta N'Tam ndiye rais wa mpito kwa…
27 Nov 2025
- Yafahamu mambo 9 yatakayojadiliwa na Bunge la Ulaya kuhusu Tanzania
26 Nov 2025
- Bunge la Ulaya linatarajiwa kujadili ukiukaji wa haki za kibinadamu nchini Tanzania, mauaji ya baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, pamoja na kuendelea…
26 Nov 2025
- Rais wa Guinea-Bissau Umaro Sissoco Embaló amekamatwa na watu wenye silaha siku chache tu baada ya uchaguzi wenye utata ambapo upinzani ulizuiliwa…
26 Nov 2025
- Kijiji kilicho katika Pune, katika jimbo la Maharashtra magharibi mwa India, kimepata njia ya kipekee ya kupunguza mashambulizi ya chui.
Baadhi ya…
25 Nov 2025
- Watuhumiwa 198 wameachiliwa huru huku wengine 18 wamerejeshwa rumande hadi tarehe 3 Desemba
Jana na leo, tayari Watuhumiwa zaidi ya 400 wameachiwa…
25 Nov 2025
- Muungano wa kimataifa wa wanasheria na makundi ya haki za kibinadamu umeiomba rasmi Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kumchunguza Rais wa Tanzania…
25 Nov 2025
- Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania amewaondolea mashtaka washtakiwa 198 waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka ya uhaini katika Mahakama ya Hakimu…
25 Nov 2025
- Mkurugenzi wa Mashtaka Nchini DPP amewaondolea mashtaka washtakiwa 20 waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka ya uhaini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi…
25 Nov 2025
- Muungano wa kimataifa wa wanasheria na makundi ya haki za binadamu umeiomba rasmi Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kumchunguza rais wa Tanzania,…
25 Nov 2025
- Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema si busara kwa watanzania kutaja idadi ya watu waliokufa kama magari akidai kufanya hivyo…
25 Nov 2025
- ‘Kumwaga damu ya mtu asiye na hatia si baraka katika taifa’ - Mwigulu Nchemba
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchembe…
25 Nov 2025
- Watuhumiwa wa kesi ya uhaini akiwemo mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania ‘Niffer’ wamefikishwa mahakamani leo
Watuhumiwa hawa ambao wamefikishwa…