Skip to main content
Skip to main content

Mume Mmoja, Wake Wawili: Safari ya miaka zaidi ya 20 katika ndoa

  • | BBC Swahili
    14,746 views
    Duration: 32:30
    Kwa miaka mingi ndoa za zaidi ya mke mmoja zilishamiri katika jamii za kiafrika kutokana na mila na itikadi za baadhi ya jamii na hata baadhi ya dini lakini katika miaka ya hivi karibuni kuwa na zaidi ya mke mmoja ni suala linaloonekana kama lenye utata. Familia moja ya mume mmoja na wake wawili walizungumza na mtangazaji kinara wa BBC Roncliffe Odit kuhusu jinsi wanavyoishi katika uhusiano wao #bbcswahili #kenya #mitala Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw