- 972 viewsDuration: 20sTazama wanandoa wakikimbia moto mkali wa nyika ulioliteketeza gari lao kwa miali ya moto huko Canada. Kaskazini-magharibi mwa Marekani na Canada zinakabiliwa na moto mkubwa wa nyika ambao umesababisha maelfu ya watu kuhamishwa na mamia ya majengo kuharibiwa. #bbcswahili #motowanyikacanada #marekanimoto Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw