- 30,266 viewsDuration: 1:59Hebu fikiria umeenda likizo nje ya nchi, lakini vita vinazuka ghafla na kukulazimisha kuanza maisha mapya ugenini. Hilo ndilo lililomtokea Alla Nikolaieva kutoka Ukraine. Sasa anaishi Zanzibar, ambako ameanzisha mgahawa wa vyakula vya Ukraine unaounganisha tamaduni za Ukraine na Zanzibar kupitia chakula. Mwandishi wa BBC @Elizabethkazibure, alikutana naye Jambiani na kutuandalia taarifa hii. 🎥 @frankmavura - - #bbcswahili #ukraine🇺🇦 #zanzibar #foryouシ #utalii Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw