- 27,635 viewsDuration: 1:43Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na viongozi wa vyama 18 kati ya 19 vyenye usajili wa kudumu nchini humo kujadili masuala mbalimbali ya kisiasa, yakiwemo maridhiano na mchakato wa Katiba. Lakini chama kikuu cha upinzani nchini, CHADEMA, hakikushiriki mkutano huo licha ya kudaiwa kualikwa. @mariammjahid anaelezea ka kina @brianmala #bbcswahili #tanzaniasiasa #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw