Skip to main content
Skip to main content

Wake wenza wanaoishi pamoja: Uhalisia wa ndoa yao

  • | BBC Swahili
    19,069 views
    Duration: 2:04
    Takid Master ni mwalimu wa sanaa za mapigano kutoka Kenya na anajulikana kwa kuishi chini ya nyumba moja na wake zake wawili, Cecilia Moraa na Mariam Nyambura, pamoja na watoto wao wanane. Waliongea na @roncliffeodit, Mahojiano haya kwa urefu utayapata katika YouTube ya BBCSwahili #bbcswahili #kenya #wakewenza Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw