Skip to main content
Skip to main content

Ashambuliwa na papa chini ya bahari

  • | BBC Swahili
    6,337 views
    Duration: 32s
    Mvuvi na mtayarishaji wa maudhui kutoka New Zealand, Henry Gibbs, alishambuliwa na papa alipokuwa akipiga mbizi nchini Fiji mapema mwezi huu. Anasema anajiona mwenye bahati kubwa kuwa bado ana mguu wake na anaweza kuutumia kikamilifu. Madaktari wanasema watamfanyia upasuaji mara nne pamoja na kupandikizwa ngozi. Licha ya tukio hilo, Gibbs aliandika kwenye Instagram: "Nilikuwa katika mazingira yake nikivua chakula chake. Ilikuwa ni mahali pasipofaa kwa wakati usiofaa." #bbcswahili #papawakijivu #baharini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw